Ingekuwa amri yangu wangewekwa ndani wote kina vyeupe wanaongeza bure idadi ya wanaume wakati hatuna kazi nao, kiukweli mwanaume mweupe kwangu naonaga kinyaa nafsi hupoa km nimemwagiwa barafu,Hahahahhaaa yaani ww ndo umekuja kuharibu kabisa jamani! π€£π€£π€£! Hahahhaa....
Kuna tatizo MahaliAjabu sana mwanaumr kujisifia mzuri
Wewe unapenda weusi unahakika gani hao watoto wako nao wataupenda huo weusi.?Ingekuwa amri yangu wangewekwa ndani wote kina vyeupe wanaongeza bure idadi ya wanaume wakati hatuna kazi nao, kiukweli mwanaume mweupe kwangu naonaga kinyaa nafsi hupoa km nimemwagiwa barafu,
Nashukuru sana nimetoa vitoto vyeusi,
[emoji2][emoji2][emoji2]@cmp ni kijana wetu mzuri mzuri makofi kwake tafadhali
Kwaiyo mtoa mmada kajiandikia Uzi unaomhusu[emoji1787][emoji1787]Vipi mkuu ulishapata ile lotion?View attachment 1819521
[emoji2958]shhhh, usiseme kwa sauti[emoji116][emoji12]Mbona maelezo haya bado hayatoshi kuwa sababu ya kujichubua? Mkuu acha kujichubua usitafute kichaka
Mfuatilie vzr utamjua tu mkuu,πππ.Kwaiyo mtoa mmada kajiandikia Uzi unaomhusu[emoji1787][emoji1787]
mkuu,wewe ni mzuri bana.Daima kitu kizuri ndo kinachosifiwa.
Unakuwa na mwanaume ana sura ngumu hadi ukipita nae mbele za watu wanashangaa nakucheka kwamba huyu mwanamke alikosa nini hadibakawa na mwanaume kama huyu.
Mmmmmmh hapanaEwaaah... Mwanaume mweupe anaringa na bado wanawake watajisogeza maana wanajua kabisa ukiachana na mwanaume mweupe haichukui muda wanawake wanajiweka.
Hili nina ushahidi nalo kuanzia primary hadi chuo nimekuwa nikibabaikiwa sana na wasichana kwasababu ya weupe tu.
Na kiburi ninacho kweli lakini ntabembelezwa weeee hata kama kosa langu.
Ukweli mchungu tuache kujifariji maana kuwa mweusi tu inaonekana kama ni laana hivi. Yaani kama binadamu wa nyongeza tu.
Njoo kwangu my!mimi ni mweusi mtelezo tena nang'aa kisawa sawa halafu wa moto hadi ikulu!!ntakupa joto my!!!!Mh..mwanaume mweupe inahitaji wito!
Wala sina kiu na mwanaume mkuu wala haja!Njoo kwangu my!mimi ni mweusi mtelezo tena nang'aa kisawa sawa halafu wa moto hadi ikulu!!ntakupa joto my!!!!
Hahahaa ht mm wametoka color yangu brown...khaaIngekuwa amri yangu wangewekwa ndani wote kina vyeupe wanaongeza bure idadi ya wanaume wakati hatuna kazi nao, kiukweli mwanaume mweupe kwangu naonaga kinyaa nafsi hupoa km nimemwagiwa barafu,
Nashukuru sana nimetoa vitoto vyeusi,
Huenda hamjui..mwenzake anaulizaga had mafuta mazuri ya kucream ngoziπMfuatilie vzr utamjua tu mkuu,πππ.
Swali la kijinga Kweli, nyie ndo mnaoulizaga wazazi wenu kwanini wamewazaa sio? MxiiiiiieeewWewe unapenda weusi unahakika gani hao watoto wako nao wataupenda huo weusi.?
Ndo madhara ya mtt wa kiume kujiangalia angalia kwenye kioo hayo mwsho wa siku unajichubua unaona haitosh unaanza kuvaa na hereni na kulamba lips[emoji2958]shhhh, usiseme kwa sauti[emoji116][emoji12]View attachment 1819710
Safi Sana sio unazaa mtoto wa kiume mweupe anakuja kuwa km cmp mrembo wa kiume,, we ushaona wapiHahahaa ht mm wametoka color yangu brown...khaa
πππ kumbukumbu yako iko vzr Sana mkuu.Huenda hamjui..mwenzake anaulizaga had mafuta mazuri ya kucream ngoziπ
Jidanganye, mwanaume mdark ndio mpango mzima. Wanaume weupe mmekikaa kimama mama. Pole lakini.Ndo mnavyojipaga moyo hivyo ila hata ujifariji ukweli upo pale pale mwanaume mweupe anapendwa sana na wanawake na ndo maana mwanaume mweupe akimtongoza msichana mweusi huyo msichana anakuwa haamini kama kweli ni yeye amepata bahati yakutongozwa.
Ukweli upo wazi wanaume weusi hawajiamini ndo maana wanajikoboa kila siku wawe angalau na kaweupe fulani avutie wasichana.
Acha uongo, mwanaume unakiganja laini kwani wewe ni dada!?We jamaa kwa kujipigia promo... Labda mademu wa kijijin. Mjini mademu hawataki uwe hivyo