Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Mawazo ya kipimbi sana hayo!
 
Mbona mi jamani napenda wanawake weusi mpaka naumwa. Yan nikiiona hiyo rangi mahali nachanganyikiwa! Au nipo mwenyewe?
 
Aisee katika experience nilivyowahi kusikia wanawake mbalimbali, 80% ya wanawake hawapendi wanaume weupe. Kuna rafiki yangu nilikuwa nae alikuwa anapata tabu sana, kila nikienda nae mahali, mi mweusi nabeba goma, nikijaribu kumuunganishia kungine, jibu linakuja hawapendi mwanaume mweupe. Pole mkuu, endelea kujipa moyo
 
Acha uongo, mwanaume unakiganja laini kwani wewe ni dada!?
Sasa niwe na kiganja kigumu cha nini? Ili iweje?sihitaji kiganja kigumu na mke wangu anataka mkono laini wa kumpapasia....sababu ana ngozi laini kwa nini asuguliwe na msasa? Magume gume ndo yatataka kiganja kigumu maana ngozi zao zimekuwa sugu.
 
Ukiwa ulaya unaitwa black, hivi vitu ni relative sana

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…