kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Selikari ijitaid kuwajengea vijana manzigira mazur ya kuwa na Maisha bora????? KIVIPI?
PAMOJA NA HAYO, NA VIJANA WENYEWE WAJIJENGEE UELEWA KWA KUSOMA VITU VYA KUJIONGEZEA MAARIFA KATIKA UJUZI FLANImiundombinu na kuwawezesha mitaji na masoko kwa masharti nafuu
mfano hata ukilima mazao ukayapata megi.. kama Tanzania hakuna soko maana yake umekula hasara.. hawaruhusu uuze hata nchi jirani