Vijana wengi waliomaliza kidato cha sita 2014 hawana vitambulisho vya kura, passport au uraia

Echikaka

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
11
Reaction score
1
Kuhusu kujaza fomu za mikopo ya elimu ya juu mwaka huu inatakiwa kila mwombaji kuwa na kitambulisho cha urai au pass ya kusafiria au kitambulisho cha kupigia kura. Lakini wengi wao hawana vitambulisho hivyo na kwa sasa ni vigumu kuvipata.

Je, wafanyeje? au "National ID card" ni sawa na cheti cha Kuzaliwa?

Naomba ufafanuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…