Vijana wenye mafanikio zaidi bongo 2011!


Napata shida sana kujua ni nini maana ya mafanikio. Hivi mtu anayepata kula kwa kutegemea ujira wa kumtumikia mtu mwingine ndio utamwita mwenye mafanikio? Huyo Mange mi nilishasema kitambo kuwa siyo mzima kiakili. Kwangu mimi mtu aliyefanikiwa kujiajili mwenyewe na kutengeneza ajira kwa wengine ndiye mwenye mafanikio. Na mtu anayetumia kipaji chake ama elimu yake kwa kusaidiz jamii kama mwanasheria, daktari, engineer, na wengineo.

Kama suala ni vijana, wapi shigongo?, wapi mohamed dewji? Na wengineo?
 
Sioni umuhimu wa hii mada hapa na moja na sababu kubwa ni kwamba ni research gani imefanyika ikaonyesha kwamba wao ndio vijana waliokuwa na mafanikio zaidi mwaka 2011 huo ni upuuzi, unajua kwamba kuna vijana waliopata mafanikio makubwa sana kwa mwaka 2011 na bado wako kimya hawana kelele wametulia. wewe ulitoa mada huko uliko itoa na huyo aliyeianzisha nyote ni OVYO. samahani kama nitakuwa nimekuudhi.
 
Hii list yenu kama hainitaji mimi kua mmoja wao hao vijana wenye mafanikio basi ni feki!!!
 
sasa huyu dalali kikwamba na pro active yake kafanikiwa nn
 
Mleta mada hapa jf ameenda kinyume na huyo anaeitwa "mange".

Heading ya "Thread" inasema wenye "mafanikio" ila mange aliongelea kuhusu "eligible bachelors". Sasa kuna uhusuano gani hapo na mafanikio? Mimi kwa uelewa wangu wa form four eligible najua ni mtu aliekidhi vigezo na kustahili kitu falani (tajwa).
Sasa hao mimi nahisi ni mabachela wanaoweza kukidhi vigezo vya kuona.(kwa mujibu wa mange)

Nawasilisha
 

Mkuu hao uliowataja hapo chini/mwishoni hawana wake zao? Ni mabachela?
 
Patrick Ngowi ubilionea upi alio nao, tunavyojua ana ubilionea wa umaarufu,hela aliyo nayo patrick haifiki kokote,amejitahidi kucheza na vyombo vya habari tu ila tunafahamu vizuri.

Kwahiyo Ubilionea wake kama wa diamond?

Cc: heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
huyo mtoa mada kachemshaaa kwa taarifa yako arusha kuna vijana wamepata mafanikio sana watu wana bilions kuliko hata huyo ngowi mpaka wana miliki private jet zao.sema hawana kimbelembele kama huyo mange
...
 
Wabongo sisi bla bla sana Mada inasema Vingine Wananchi wenye Hasira Wanatafsiri Vinginee Mwe! Imbombo Jilipo !
 

kwa sababu wamevaa suti na kupiga picha kwenye ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…