Pole sana Mkuu, ARV.Nakushauri uanze mazoezi, pumzisha mwili wako, kula vizuri na kisha umrudie Mungu wako...... ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
😢😢😢kuna ushaur mwingine unaweza. kuua kwa second tuNakushauri uanze mazoezi, pumzisha mwili wako, kula vizuri na kisha umrudie Mungu wako...... ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kijana wewe kama hujui SI lazima kuchangia acha kujifanya unajua kila kitu UtapakatwaMkuu SNAP J kwa hiyo hicho kikopo ni cha ARVs?
Huwa zinaandikwa especially hiyo efavirenz huwa ina side effects kubwa ukinywa mchanaARVs haiwezi ikaandikwa 1×1 Usiku mmoja.
Ila anayekuchukulia serious wewe ni mpumbavu tu.
Kwa hiyo sio dawa za HIV eetLamivudine belongs to a class of HIV medicines called nucleoside reverse transcriptase inhibitors (NRTIs). NRTIs block an HIV enzyme, a type of protein, called reverse transcriptase. By blocking reverse transcriptase, NRTIs prevent HIV from multiplying and can reduce the amount of HIV in the body.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna dawa za HIV kuna dawa za kufanya wale virus wa HIV wasizaliane Na kuongezeka
Ni ARVs
SureHuwa zinaandikwa especially hiyo efavirenz huwa ina side effects kubwa ukinywa mchana
Sasa kama ulikuwa unajua kuwa ni dawa za ARVs umeileta ili tufanyaje?Sasa kijana wewe kama hujui SI lazima kuchangia acha kujifanya unajua kila kitu Utapakatwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa wewe braza utaua watuNakushauri uanze mazoezi, pumzisha mwili wako, kula vizuri na kisha umrudie Mungu wako...... ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
He's already a dead walking body...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Yeuwii!