Vijana wenzangu mnaofanya application za vyuo kuweni makini na guidebook ya tcu

c kihivyo mkuu,usipende kuongea kwa kujiamini kama huna uhakika na ulisemalo,hiyo guidebook tumeicheki,ninachotaka kujua kama competition ni kubwa au vp

UDSM competition ni kubwa tena sana tu ila hongera sana mkuu yan hilo tokeo linaweza ushindani so usiwaze kabisaaaaa
 
wadau naomba mnisaidie hili jambo,mwaka principle ili mtu aingie chuo ni ipi kuanzia D au C?
 
je mie mwenye three ya 12 cbn , nimepata d chem, c bios na b nutrition naweza soma food science and techno sua
 
Naomba mnieleweshe entry minimum requirement ukiambiwa ni 5 or 4.5 ina maana gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…