Vijana wetu wanafanya nini vyio vikuu ???


Wahenga walisema,"nyani haoni kundule".Sishangazwi na huyu kijana wa chuo kikuu kutojua lugha ya kigeni yaani kiingerza kwa sababu kwanza ni kutokana na mfumo mbovu wa ufundishaji lugha husika katika shule zetu nyingi hapa Tanzania,lakini pili elimu ya mtu haiwezi kupimwa kwa kutojua lugha ya kigeni.Utafiti uliowahi kufanywa na shirika lisilo la kiserikali la Haki Elimu ulibaini kuwa zaidi ya asilimia 55 ya wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawafahamu ligha ya kiingereza kwa ufasaha lakini ni wawakilisi wazuri kabisa wa majimbo yao.Kama hiyo haitoshi hata lugha yetu tu ya Taifa ni tatizo kwa watanzania walio wengi mfano mzuri ni wewe mwenyewe badala ya kuandika "vyuoni" umeandika "mavioni",kusheherekea" badala ya "kusherekea"
Jipange Mkuu.ELIMU KWANZA na si KILIMO KWANZA.
 
Tunatumia kodi zenu vizuri. Hivi boom lini tena jamani wanavyuo wenzangu?
English english kwani naenda kuhudumia waingereza?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

aiseeeee babayangu hilo nalo neno
 
Acha umbulula wewe, english sio elimu ni media (lugha) tu kwa ajili ya kujifunzia maarifa, kushindwa kupangilia grammer (sarufi) isiwe tatizo, hata nchi za asia, nyingi hazijui kiingereza ni india tu ndio wanajua kiingereza kizuri cha grammer kuliko hata waingereza wenyewe. Mbona wewe umeandika vyio, badala ya vyuo na wewe improve your kiswahili. Mfano mwanafunzi anayesoma uhandisi (engineering) tunatagemea ajue lugha ya kimahesabu zaidi kuliko english.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…