Vijembe vya CEO wa Zamani Simba sc huko Twitter vilikia vinamlenga boss Mo dewj?

Vijembe vya CEO wa Zamani Simba sc huko Twitter vilikia vinamlenga boss Mo dewj?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimeshitushwa sana na tetesi za binti Gonzalez kuhamia Yanga na imenipa maswali fikirishi ambayo yamenifanya NALIA NGWENA nije kushea na wajuzi jamvini.

1/ je vile vijembe Babra Gonzalez kule Twitter alikua akimsakama boss Mo dewji??

11/ je nini kimetokea kikubwa mpaka wapendwa hao kuvurugana??
  • Pesa au nini?
  • Je, ni wivu wa mapenzi?
111/Endapo Gonzalez atahamia Yanga Nini kitatokea kwa Hajji Manara maana dunia nzima inajua Hawa hawaivi chungu kimoja?

Nawasilisha hoja.

Screenshot_20230727-214459_1.jpg
 
Ni scene inachezwa hapo na MO pamoja na Barbara(hawa wote ni mahasimu wa Manara).
Yanga wanakawaida ya kufurahia makapi yanayotoka Simba,kama ni kweli Barbara akienda Yanga anakwenda kumpa wakati mgumu Manara kwa kushirikiana na vijana wa Polimilai priva na Kamwe.
 
Nimeshitushwa sana na tetesi za binti Gonzalez kuhamia Yanga na imenipa maswali fikirishi ambayo yamenifanya NALIA NGWENA nije kushea na wajuzi jamvini.

1/ je vile vijembe Babra Gonzalez kule Twitter alikua akimsakama boss Mo dewji??

11/ je nini kimetokea kikubwa mpaka wapendwa hao kuvurugana??

  • Pesa au nini?
  • Je, ni wivu wa mapenzi?

111/Endapo Gonzalez atahamia Yanga Nini kitatokea kwa Hajji Manara maana dunia nzima inajua Hawa hawaivi chungu kimoja?

Nawasilisha hoja.View attachment 2700888
Hakuna adui wa kudumu,imagine Haji na Barbara wako Utopolo chini ya Engineer Hersi .
 
Hersi anaonesha ukomavu Sana..anaweza beba yeyote na kumtuliza
 
Back
Top Bottom