NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hakuna adui wa kudumu,imagine Haji na Barbara wako Utopolo chini ya Engineer Hersi .Nimeshitushwa sana na tetesi za binti Gonzalez kuhamia Yanga na imenipa maswali fikirishi ambayo yamenifanya NALIA NGWENA nije kushea na wajuzi jamvini.
1/ je vile vijembe Babra Gonzalez kule Twitter alikua akimsakama boss Mo dewji??
11/ je nini kimetokea kikubwa mpaka wapendwa hao kuvurugana??
- Pesa au nini?
- Je, ni wivu wa mapenzi?
111/Endapo Gonzalez atahamia Yanga Nini kitatokea kwa Hajji Manara maana dunia nzima inajua Hawa hawaivi chungu kimoja?
Nawasilisha hoja.View attachment 2700888
babra ana mtt na hersi is it?Hersi anaonesha ukomavu Sana..anaweza beba yeyote na kumtuliza
Yesbabra ana mtt na hersi is it?