Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐จ๐ด๐ผ๐บ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฐ๐ผ๐ฐ๐ฎ ๐ฐ๐ผ๐น๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ฃ๐ฒ๐ฝ๐๐ถ
Moja kati ya tangazo la kitambo liliundwa ili kumdhihaki Coca-cola toka kwa Kampuni ya Pepsi, ni hii tangazo la unywaji wa soda ya pepsi.
Shida ilianza pale Coca cola ๐ฅค alipotangaza hadharani ameuza na kupata faida mara 4 zaidi ya kampuni ya Pepsi mwaka 2001, Pepsi bhana wakajibu kwa style hii๐;
Kuna video inaonyesha kijana mdogo ananunua makopo mawili ya Coca cola na kuyaweka chini Kisha na kusimama juu ya hayo makopo na kumsaidia kufikia kwenye kitufe Cha kubonyeza ili kuweza kununua Kinywaji Cha Pepsi.
Japo lilikua linaonekana kama la kuchekesha lakini ndiyo dhana iliyotumika kampuni ya Pepsi kurudisha kijembe kwa coca-cola na kuweza kusimama Tena pamoja na kuongeza mauzo kwa Kasi japo lilisababisha mtafaruku.
Ebu tuambie ingekua Tanzania hapo unafikiri nini kingetokea?