Moja kati ya tangazo la kitambo liliundwa ili kumdhihaki Coca-cola toka kwa Kampuni ya Pepsi, ni hii tangazo la unywaji wa soda ya pepsi.
Shida ilianza pale Coca cola ๐ฅค alipotangaza hadharani ameuza na kupata faida mara 4 zaidi ya kampuni ya Pepsi mwaka 2001, Pepsi bhana wakajibu kwa style hii๐;
Kuna video inaonyesha kijana mdogo ananunua makopo mawili ya Coca cola na kuyaweka chini Kisha na kusimama juu ya hayo makopo na kumsaidia kufikia kwenye kitufe Cha kubonyeza ili kuweza kununua Kinywaji Cha Pepsi.
Your browser is not able to display this video.
Japo lilikua linaonekana kama la kuchekesha lakini ndiyo dhana iliyotumika kampuni ya Pepsi kurudisha kijembe kwa coca-cola na kuweza kusimama Tena pamoja na kuongeza mauzo kwa Kasi japo lilisababisha mtafaruku.
Ebu tuambie ingekua Tanzania hapo unafikiri nini kingetokea?
Huwa napenda kuona makampuni ya nje yanavyopigana vijembe kwenye matangazo ya biashara. Hii ipo sana nje, huko ulaya na malemani. Cocacola na pepsi wamekuwa wakipigana vijembe kwa miaka. Huko ujerumani makampuni ya magari ya BMW, Audi na Mercedez-Benz yanapigana vijembe kila siku kwenye matangazo. Inafanya biashara ichangamke zaidi...
Moja kati ya tangazo la kitambo liliundwa ili kumdhihaki Coca-cola toka kwa Kampuni ya Pepsi, ni hii tangazo la unywaji wa soda ya pepsi.
Shida ilianza pale Coca cola ๐ฅค alipotangaza hadharani ameuza na kupata faida mara 4 zaidi ya kampuni ya Pepsi mwaka 2001, Pepsi bhana wakajibu kwa style hii๐;
Kuna video inaonyesha kijana mdogo ananunua makopo mawili ya Coca cola na kuyaweka chini Kisha na kusimama juu ya hayo makopo na kumsaidia kufikia kwenye kitufe Cha kubonyeza ili kuweza kununua Kinywaji Cha Pepsi.
Japo lilikua linaonekana kama la kuchekesha lakini ndiyo dhana iliyotumika kampuni ya Pepsi kurudisha kijembe kwa coca-cola na kuweza kusimama Tena pamoja na kuongeza mauzo kwa Kasi japo lilisababisha mtafaruku.
Ebu tuambie ingekua Tanzania hapo unafikiri nini kingetokea ?
Tanzania kuna mbinu nyingi coca walitumia kuangusha magari yenye mzigo wa pepsi, moja liliangushwa kona za Ruaha na jingine mitaa ya Kitonga kama sijakosea