Vijembe vya mashabiki wa Simba SC

Vijembe vya mashabiki wa Simba SC

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Lwanga: Mzamiru kazi yako ni kubonyeza OFF kwenye main Switch ya Umeme Taifa zima.

Mzamiru: Lakini wewe ndie mkata umeme bro.

Lwanga: Najua ila leo nakupa hiyo kazi.

Mzamiru: Na wewe utafanya kazi gani unataka nije kulaumiwa mimi.

Lwanga: Acha woga Punda mimi leo kazi yangu ni kuagusha nguzo zote za umeme, hivyo ukisha zima mimi nakata nguzo wakija kuwasha hakuna mawasiliano tena.

Mzamiru: Sawa kaa karibu nikishindwa unisaidie.

Lwanga: Utasaidiwa na Zimbwe au Kapombe.

Mzamiru: wewe wale wapo kushoto na kulia watamuachia nani?

Lwanga: Kuna Konde boy kule alikuwaga beki yule ila ufupi ukamlazimisha kucheza winger ana kimbia kuliko kukatika kwa umeme

Mzamiru: [emoji3][emoji3][emoji3] hivi elimu yako ni hipi.

Lwanga: Mimi ndie Mchezaji msomi Bongo.

Mzamiru: Hakika.

Baada ya mechi Lwanga kasabibisha Tanzania tushangilie kukiwa hakuna umeme.
 
Ngapi hukoooo[emoji196][emoji196]
Kocha amezingua leo. Amerudia tena makosa yake aliyo yafanya kwenye mechi dhidi ya Gwambina.😇 Ufupi tu hakuwa na sababu ya kumuacha nje mchezaji kama Mukoko na kumuanzisha Zawadi Mauya ambaye ni mchezaji anayependa kupuyanga tu uwanjani.

Ila siyo mbaya! Hatukuwa pia na bahati. Tulikosa magoli mawili ya wazi dk za majeruhi.
 
Hapana mkuu sahivi habari kuu ni marefa wanai hujumu yanga We subiri utaona tu press kila mahali tawi la yanga hadi kwenye HQ zao
Makosa ya marefa ni ya kawaida tu. Ni muda mrefu sasa wamekuwa wakifahamika kwa kuchezesha mechi nyingi za ligi chini ya kiwango.

Sare ya leo ilikua ni ya kujitakia tu baada ya kocha wa Yanga kuamua kutowaheshimu Kagera Sugar na hivyo kuwaacha wachezaji muhimu kama Mukoko nje. Huu upuuzi wa kocha ukiendelea, kuna dalili tukaja kunyang'anywa tonge mdomoni.
 
Kwan mpaka sasa hivi hilo tonge bado lipo mdomoni?
Makosa ya marefa ni ya kawaida tu. Ni muda mrefu sasa wamekuwa wakifahamika kwa kuchezesha mechi nyingi za ligi chini ya kiwango.

Sare ya leo ilikua ni ya kujitakia tu baada ya kocha wa Yanga kuamua kutowaheshimu Kagera Sugar na hivyo kuwaacha wachezaji muhimu kama Mukoko nje. Huu upuuzi wa kocha ukiendelea, kuna dalili tukaja kunyang'anywa tonge mdomoni.
 
Kocha amezingua leo. Amerudia tena makosa yake aliyo yafanya kwenye mechi dhidi ya Gwambina.[emoji56] Ufupi tu hakuwa na sababu ya kumuacha nje mchezaji kama Mukoko na kumuanzisha Zawadi Mauya ambaye ni mchezaji anayependa kupuyanga tu uwanjani.

Ila siyo mbaya! Hatukuwa pia na bahati. Tulikosa magoli mawili ya wazi dk za majeruhi.
Poleni mkuu ndio ukubwa huu
 
Back
Top Bottom