EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Lwanga: Mzamiru kazi yako ni kubonyeza OFF kwenye main Switch ya Umeme Taifa zima.
Mzamiru: Lakini wewe ndie mkata umeme bro.
Lwanga: Najua ila leo nakupa hiyo kazi.
Mzamiru: Na wewe utafanya kazi gani unataka nije kulaumiwa mimi.
Lwanga: Acha woga Punda mimi leo kazi yangu ni kuagusha nguzo zote za umeme, hivyo ukisha zima mimi nakata nguzo wakija kuwasha hakuna mawasiliano tena.
Mzamiru: Sawa kaa karibu nikishindwa unisaidie.
Lwanga: Utasaidiwa na Zimbwe au Kapombe.
Mzamiru: wewe wale wapo kushoto na kulia watamuachia nani?
Lwanga: Kuna Konde boy kule alikuwaga beki yule ila ufupi ukamlazimisha kucheza winger ana kimbia kuliko kukatika kwa umeme
Mzamiru: [emoji3][emoji3][emoji3] hivi elimu yako ni hipi.
Lwanga: Mimi ndie Mchezaji msomi Bongo.
Mzamiru: Hakika.
Baada ya mechi Lwanga kasabibisha Tanzania tushangilie kukiwa hakuna umeme.