njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu.
Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa Gsm baada ya hafla ya kusaini mkataba hewa wa udhamini iliyohudhuriwa na utopolo fc pekee.
Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa Gsm baada ya hafla ya kusaini mkataba hewa wa udhamini iliyohudhuriwa na utopolo fc pekee.