njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
wakaweka na cheki kabisa eti kumbe watu wamevalishwa matangazo miezi mitatu bila malipoSaizi kashitaki kwa Vilavu vidogo
Kwamba Mbaya wao ni Simba
Hahaha
Sasa hapo nani aliyevunja mkataba?vipengere vya mkataba vinataka timu zote 16, zivae logo yake, timu moja imekataa na hata mabango yake, hayatakiwi uwanjani, TFF, ndio ameshindwa kutimiza matakwa ya ki mkataba.wakaweka na cheki kabisa eti kumbe watu wamevalishwa matangazo miezi mitatu bila malipo
Mwisho Wa Ubaya Ni AibuSahivi anaona aibu kwa mpaka wanahamisha magoli kwa uzushi eti Simba inapendelewa.
Hilo jinga lilikuwa linalalamika jezi ya simba ina makorokoro mengi kama team za sudan halafu yeye na matapeli wenzake wanalilia korokoro la gsm liongezwe kwenye bega la kushotoMwisho Wa Ubaya Ni Aibu
Ndiyo Gharibu Said Mohamed Anaumbuka Mchana Kweupe Watu Wanaona Hadharani
Kumbe target ilikuwa ni simba vipi ingegomea namungo ingevunja mkataba?Sasa hapo nani aliyevunja mkataba?vipengere vya mkataba vinataka timu zote 16, zivae logo yake, timu moja imekataa na hata mabango yake, hayatakiwi uwanjani, TFF, ndio ameshindwa kutimiza matakwa ya ki mkataba.
ila nataka niulize swali. Je GSM yenyewe wakati wakuja kudhamini je ilisoma kanuni ya udhamini vizuri au ni janja janja. Manake kanuni inasema endapo club ikigoma itachuliwa hatua ambayo nikupigwa fine ya shs 3.sasa bac je kanuni hii GSM aliipitia?Sasa hapo nani aliyevunja mkataba?vipengere vya mkataba vinataka timu zote 16, zivae logo yake, timu moja imekataa na hata mabango yake, hayatakiwi uwanjani, TFF, ndio ameshindwa kutimiza matakwa ya ki mkataba.
Hahahaa, kwa hakuna utofauti na yule Mangungo wa msovero? So they are all bogus!Amini usiamini hawa jamaa wanadai ni kampuni iliyoko serious na ilikuwa inataka kufanya kazi na simba ili biashara yao itangazwe..anyway sishangai sana maana wao hata kuikongoroa logo ya NBC hawakuona shida wanenda kisela mno, vuluvululu.
Embu soma upuuzi huu ulioandikwa na mpambe/afisa wa Gsm baada ya hafla ya kusaini mkataba hewa wa udhamini iliyohudhuriwa na utopolo fc pekee.
View attachment 2113960
Ukiona hivyo ujue na tajiri mwenyewe ni mhuniHivi inakuwaje tajiri jnakubali kuzungukwa na wahuni wa kiwango hiki
Bila namungo fc, timu zingefika 16?kwani simba ana nini cha ajabu sana!!Kumbe target ilikuwa ni simba vipi ingegomea namungo ingevunja mkataba?
Umeona sababu zao za kuvunja mkataba,wameitaja simba mara tano kati ya naneBila namungo fc, timu zingefika 16?kwani simba ana nini cha ajabu sana!!