Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

Mwanamkiwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
2,023
Reaction score
2,402
Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges.

Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected to power and the remaining will be covered by 2025."

Nikiangalia orodhodha ya posta (Tanzania post code list), idadi ya vijiji katika Mkoa wa Dodoma ni takribani 750 (si 531!). Ndani ya vijiji hivyo orodha ya posta inaonyesha vitongoji zaidi ya 3,400.

Je, vingapi vinafikiwa na umeme hali halisi?
 
Back
Top Bottom