Vijiji vingi vya uchagani vilishatatua zamani matatizo yanayosumbua vijiji vingi hadi nchini. Shida ni nini kwa vijiji vingine?

Vijiji vingi vya uchagani vilishatatua zamani matatizo yanayosumbua vijiji vingi hadi nchini. Shida ni nini kwa vijiji vingine?

R-K-O

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
482
Reaction score
2,178
Maji
Umeme
Shule, Madarasa, Madawati
Hospitali
Barabara
n.k.

Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama.

Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala hawakosi madawati, umeme upo, maji ya bomba yapo, barabara zipo.

Tatizo ni nini hasa?
 
Umasikini hakuna watu matajiri huko wape hongera
 
Sasa unamuuliza nani? Huwa unapenda kuanzisha mada za uchagani uchagani Ili iweje sasa!
 
Basi ni jambo jema kama waliweza kutokomeza:-
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umasikini
 
Attachments

  • IMG-20230803-WA0019.jpg
    IMG-20230803-WA0019.jpg
    45.5 KB · Views: 1
Maji
Umeme
Shule, Madarasa, Madawati
Hospitali
Barabara
n.k.

Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama.

Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala hawakosi madawati, umeme upo, maji ya bomba yapo, barabara zipo.

Tatizo ni nini hasa?
Viongozi wengi waliofanikiwa kushika wadhifa serikalini kwa kipindi hicho walijali kwanza watokako ndio maana kumekuwa na mafanikio mengi
 
Ni kweli huduma z kijamii zipo ila pia kuna mambo yafuatayo yanaendelea
1.TASAF inatoa misaada mingi sana maana kuna wazee wengi wanaosaidiwa na vijana wao kipindi cha Xmass pekee siku zinazofuata wanapambana na hali zao...
2. Kuna vikundi vingi vya wamama wajane na waliotelekezwa ambao hupewa mimba December na waume hurudi mijini kutafuta riziki. Hawa wanapata msaada wa TASAF na mikopo ya halmashauri japo kurejesha ni mbinde.
3. Vijana wa kichaga wanaoishi vijijini wanatumia sana vilevi. Wazee wanalalamika vijana wao wameishiwa nguvu za kiume na wameanza kuozesha mabinti zao kwa makabila mengine hasa kwa wapare na kanda ya ziwa.
4. Wanapigana vipapai yaani ndumba zinatembea kiasi kwamba maonyesho ya Xmass yanaendeshwa kwa siku 3 chap watu wanarudi Dar ukizubaa huko migombani eti unasalimia kila mtu wanakula kichwa.
Kwa mara nyingine hongera kwa kuwa na huduma za kijamii.
 
Mbona mnakua mnajiogopa wenyewe mkuu.
Uchagani unamaanisha huko Moshi??
Mnakokukimbia kila leo, bila shaka uzi huu unaandika ukiwa haupo mkoani kwenu kwenye maendeleo upo kusaka rupia mikoa mingine.
 
Back
Top Bottom