Maji
Umeme
Shule, Madarasa, Madawati
Hospitali
Barabara
n.k.
Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama.
Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala hawakosi madawati, umeme upo, maji ya bomba yapo, barabara zipo.
Tatizo ni nini hasa?
Viongozi wengi waliofanikiwa kushika wadhifa serikalini kwa kipindi hicho walijali kwanza watokako ndio maana kumekuwa na mafanikio mengiMaji
Umeme
Shule, Madarasa, Madawati
Hospitali
Barabara
n.k.
Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama.
Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala hawakosi madawati, umeme upo, maji ya bomba yapo, barabara zipo.
Tatizo ni nini hasa?
Punguza kasiriko wewe!! Bahati ya mwenzio usiilalie jicho wazi mkuuSasa unamuuliza nani? Huwa unapenda kuanzisha mada za uchagani uchagani Ili iweje sasa!