Ushamba
Member
- Aug 22, 2021
- 33
- 70
Boda za Tanzania ni lango kuu LA uchumi.
KUPATA MANUFAA FANYA YAFUATAYO
1)Angalia vijiji vya pembeni mwa boda nchi za jirani hasa kule mbali na boda lakini inaweza kuwa karibu zaidi na mpaka wa Tanzania.
2)Tumia vitambulisho vya halali kabisa.
3)Angalia vitu wanavyofuata kwenye miji yao ambayo Tanzania pia vipo na bei rahisi vipo wauzie
4)Uza vitu adimu mfano dagaa Nyasa,viatu vya kimasai ambavyo Zambia havipo.
5)Ukifanikiwa sogea wilaya za pembezoni.mfano kupitia kijiji cha Chimpumbu Tanzania waweza Fanya kazi na wilaya ya nakonde.kuliko kukomaa Tunduma kwenye ushindani mkubwa.
6)Jenga utamaduni wa kuwauzia wafanya biashara wadogo kwa Jumla wa nchi jirani.
6)Lipa kodi stahiki eneo husika

Upvote
1