Elections 2010 Vijijini nako hawadanganyiki: Picha spesho

Elections 2010 Vijijini nako hawadanganyiki: Picha spesho

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
8,397
Reaction score
7,974
Nimeshangaa sana kuona bendera ya pipooooz inapepea vijijini kabisa ambako kuna umaskini mkubwa sana na nyumba zao za nyasi. Ila sina hakika kama watalinda kura zao baada ya kumpa Dr Slaa. DSC01378.JPG
 
Nimeshangaa sana kuona bendera ya pipooooz inapepea vijijini kabisa ambako kuna umaskini mkubwa sana na nyumba zao za nyasi. Ila sina hakika kama watalinda kura zao baada ya kumpa Dr Slaa.View attachment 15798

Huwa wanasema CHADEMA iko mijini tu vijijini haijafika, sasa hapo bendera inapopepea ni mjini? CHADEMA OYEEEEEE!
 
Hapo hapajauzwa bado? Very good view indeed.

Natumaini wanamapinduzi watapaokoa kama pameshauzwa.
 
Yaani nakwambia mwaka huu watu wa vijijini si wale wa mwaka 47. Hapa nilipo niko naongea na kaka yangu huko kijijini usukumani (Mwanza) ananiambia kuwa mwamko ni mkubwa mno, maovu ya Kikwete dhidi ya uchumi wa nchi wanayafahamu vizuri jambo ambalo sikulitegemea na anasema Slaa anakubalika mno mno. Huyu kaka yangu alikuwa mwenyekiti wa CCM wa tawi na amehamia CHADEMA. Tuzidi kumwomba MUNGU haki itendeke ushindi kwa Slaa uko wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom