Vijijini yela na Tukuyu wanachangishana pesa ili wawatumie mawakili wanaomtetea kijana wao EX Mayor

Vijijini yela na Tukuyu wanachangishana pesa ili wawatumie mawakili wanaomtetea kijana wao EX Mayor

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Atatoka tu, Mungu atamtetea, sisi huku ni watu wa mungu tunapiga goti kuomba na kufunga lakini pia na sisi tumeuza cocoa pesa hapa tunachanga, tuteue watu wawapelekee mawakili huko mjini wanaomtetea kijana wetu, (maneno hayo ya Mama Anangisye)

Baada ya kuyasikiliza hayo binafsi naona tunajenga chuki miongoni mwetu. Tulipofika, na tulipotoka tunahitaji kuvumiliana sana maana hatuna namna. Kama hao wazee wa vijijini watanung'unika hivo sio sawa kabisa.
 
Wakifanya hivyo watakuwa waungwana sana na hawatapungukiwa na kitu.
 
Wengi wa watu wa Mbeya katika nchi wamekuwa na mchango mkubwa sana katika nchi hii. Labda Tulia ndio amekuwa tofauti. Leo Warioba kamwambia aache kufanya kazi kama yuko ofisi moja na Raisi Samia
 
Back
Top Bottom