vijimambo week-end njema

ahhahahahahahhahahahahah i cant stop laughing

lets ZUMBA...........
 
nipo kushoto hapo nawakilisha

Ni burudani tosha, lakini vijana wetu wataishia hivi na kuacha malighafi (madini, mazao ya misitu na bahari) zikichukuliwa na wageni (wazungu), sababu vijana hawa akili zao zitakuwa zimelalia katika kuwaza mambo kama haya
 
sasa mkuu si unajua tena viongozi kura nazo wanachakachua ili wanufaike na hao wazungu,hamna cha kufanya zaidi ya kujipa raha.
 
dooh mkuu tayari mzuka na kiu kwel kwel sasa hapa.lunch time hii inabidi ku do the nidful stater.:smile-big:

Nimemwagiza mwandani wangu atangulie pale GIRAFFE halafu maboss hawajasign check yangu...sijui nifanyaje wakuu...mtoto tayari ana bili ya 120,000/=

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…