Vijipele kuzunguka uume

Vipele vidogo vinavoota kuzunguka shingo na kichwa cha **** ni normal haviwash wala kutoa maji
Lkn kama nitofauti na hivo
Njoo nikutibu
Ujue mimi ninavyo toka naanza kumenya govi langu mpaka leo niko above 30. ni vikavu tu havitumbuki wala nini vimezunguka kichwa cha mashine. Mwanzo nilijua tatizo ni govi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Tayari kaka,wahi angaza tu ukapate ushauri.By the way hebu weka picha
 
usitufanye sisi watoto wadogo,
nyoosha maelezo kabla ya kupata vipele ulifanya nini, na nani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama vikavu ni normal na vinasaidia kumpa raha mwanamke ukisex bila kuvaa.
 

Exactly iko hvi
 
Jamani ambatanisha na picha basi tuweze kuona vzr na kutoa ushauri vzr
 
ni pm tatizo lako ninajua suluhisho lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…