hujaeleza mambo muhimu kama
1. we ni mwanamke au mme
2. umri,
3. nature ya vipele kama, rangi, size, vinawasha au unaumia au havina tatizo....
4. viko sehemu gani ya sehemu ya siri
ni PM nikutumie namba ya simu nikusaidie inaweza kuw magonwa ya zinaa kama warts