Vijipu

Vijipu

Cooln

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
13
Reaction score
3
Za muda huu jamani mtoto wangu anasumbuliwa na vijipu, mara ya kwanza lilitokea nikampaka dawa ya majani likatoweka baada ya wiki mbili limetokea tena sehemu nyingi msaada pls
 
Twanga vitunguu saumu mpake palipo na jipu. Pia jitahidi kumlisha vitunguu saumu vinasafisha mwili. Moja kati ya sababu za majipu ni ishara kuwa mwili una sumu
 
Back
Top Bottom