Vijitabia Kwenye Mapenzi.

Naomba Radhi Wakubwa! Nisameheni sana......Ugeni tena huu Jamani!! Hodi hodi wanaJamii.
 
me sigombani wala kuachana na mtoto wa kike nikimuona sio namshusha nyota tu...inafiki kipindi namgeuza changudoa wangu kabisa japo bado tupo kwenye mahusiano mjanja anastuka ila boya anaaamini labda ni swagger mpya za mahusiano yetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…