Vijiti vya kuwashia moto vinaweza kukusaidia kuacha pombe na sigara

Vijiti vya kuwashia moto vinaweza kukusaidia kuacha pombe na sigara

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
Vijiti VYA kuwashia moto vinauwezo wa kukufanya ukaacha kuvuta sigara na kunywa pombe
1736920946642.jpg
 
Vijiti VYA kuwashia moto vinauwezo wa kukufanya ukaacha kuvuta sigara na kunywa pombeView attachment 3202265
Sema kwa mapana mchawi ,nikapige hela kijijini huku maana nimechoka kila muda kupokea wagonjwa wa TB wanakohoa Sana na sigara wanavuta .

Ni muda wa kuwaachusha sigara kwa lazima na hela nile
 
Milioni 5 kwa hivyo vijiti mbona ni ghali sana mkuu?

Halafu kuviroweka kwenye maji kisha kunywa juice yake itakua ni kazi ngumu.
 
Back
Top Bottom