Vijiwe vya kahawa vs Vijiwe vya pombe

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Naomba tuelezane kuhusu vijiwe hivi,

Nimeshiriki vijiwe vya kahawa lakini nimeambulia kusikiliza majungu,kusemana ,na watu walikuwepo wote ni walonzi na mada zao, wabishi na kujitenga na wenye kipato au walio wazidi.

Michongo ya vijiwe vya kahawa utoboi.




baada kubadilisha kuingia vijiwe vya pombe.
mipango ni mingi,madili mengi na watu wanajimudu ni wengi
 
kijiwe cha wakush ni mawazo ya nje ya box kuhusu madili na utajiri ni juu ya mtu.
 
Bangi ndio wenyewe maana mnaweza kicheka bila ya mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…