Vikao lukuki vya Waziri Makamba na mabepari wa gesi na mafuta vinafikirisha

Wasichojua ni kwamba wanampa Airtime maana ana trend hatari.Anatakiwa tu ku handle vizuri hili suala la umeme vizuri,then mpaka 2025 nchi nzima itakuwa inamuimba.
 
Mzee baba amwkuta miktaba iliishasainiwa hadu gharama ya kununua hiyo gas..Hata makamba kaufyata kaamua kuhamasisha wawekeze kwwnye umeme wa jua na upepo
Mwambie akalete crane ya Stigler gouge
 
Ukimuona 'mbwa' juu ya mti ujue kapandishwa!
Sasa anafanya kazi za 'aliyempandisha'
Aliyempandisha kuna 'viporo' vyake vililala, sasa kijana wake anamalizia.
Tuinuke wa Tz, tuinuke kizazi cha Nyerere kwani tunakwenda kubaki na mahandaki kama ilivyokuwa dhahabu!
 
Pamoja na sifa zilizopitiliza Magufuli ametuachia matatizo yote hayo ya umeme, madeni, hali ngumu ya maisha, n.k. Tunahitaji kubadilisha mfumo wa uongozi nchi hii, CCM ni laana kubwa.
Pole na kutemvea na bahasha za kaki mtaaani kutafuta ajira na demu wako kukuacha ssa naona unalalama
 
Hawa kina chongolo shaka et al ni wachumia tumbo tu. Tungetegemea positive critical actions toka kwao. Kazi kuzurura tu kula posho za safari.
 
Du!
 
Hakika
 
JPM alipambana akaondoa mgao,eti kijamaa kijuajijuaji kinakuja na movie mpya kila siku.
Ndio hapo sasa, kila siku wanatengeneza mazingira ya kutuaminisha kuwa kuna tatizo, ili wakileta suluhisho lao la kifisadi tusitilie shaka.
 
Wewe ambae sio pepari tunakuomba ukawekeze tupate pesa Mr Mzalendo
 
Mbona procurement na award of contract ya sgr, stiglers na ndege, ilikuwa na usiri?? Mkubwa. KWA hiyo naye alirudia makosa yale yale ya watangulizi wake??
 
Mbona procurement na award of contract ya sgr, stiglers na ndege, ilikuwa na usiri?? Mkubwa. KWA hiyo naye alirudia makosa yale yale ya watangulizi wake??
Haikuwa siri, serikali iliamua kuwa bypass madalali tu.

Kwamfano kwenye SGR wale madalali wamerudi tena, na ndio maana ulisikia mvutano wa tenda ya kipande cha tatu na nne (Makutopora-Tabora na Tabora-Isaka) ya TRC na PPRA.

Mapepari wanazidi kurudi kwenye mirija yao.
 
Mbona procurement na award of contract ya sgr, stiglers na ndege, ilikuwa na usiri?? Mkubwa. KWA hiyo naye alirudia makosa yale yale ya watangulizi wake??
Haikuwa siri, serikali iliamua kuwa bypass madalali tu.

Kwamfano kwenye SGR wale madalali wamerudi tena, na ndio maana ulisikia mvutano wa tenda ya kipande cha tatu ja nne ya TRC na PPRA.

Mapepari wanazidi kurudi kwenye mirija yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…