Vikao lukuki vya Waziri Makamba na mabepari wa gesi na mafuta vinafikirisha

Mwacheni waziri wetu awajibike jamani. Nimemuon Leo akifafanua mazuri kuhusu umeme
Sweet talk anaiweza sana, lakini asituletee Richmond 2.0 kwa kisingizio chochote. Akazane amalize JNHPP kwa muda.
 
Haikuwa siri, serikali iliamua kuwa bypass madalali tu.

Kwamfano kwenye SGR wale madalali wamerudi tena, na ndio maana ulisikia mvutano wa tenda ya kipande cha tatu ja nne ya TRC na PPRA.

Mapepari wanazidi kurudi kwenye mirija yao
Huo si ndo ufisadi wenyewe kukiuka sheria ya manunuzi, hakuna udalali ni upigaji tu beanamdogo
 
Mungu atawaaibisha. Waje na mbinu nyingine kwa sababu mvua zitanyesha kwenye catchment areas za mito mikubwa yote kuanzia wiki hii ya November hadi January.
 
Unajua kadri mnavyompiga vita januari ndio mungu anamuinua juu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
APTL inakuja na jina jipya siku za karibuni
Kaeni Kwa kutulia tuko kwenye process
Rais atatangaza kupatikana Kwa mzabuni wa kutuvusha kwenye giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…