Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 528
- 1,241
Vikao vya mara Kwa mara ofisini vinaboa na mara nyingi hivyo vikao ni useless na vinapenda kuzungumzia kazi zinazotakiwa kufanyika badala ya kufanya hizo kazi.
Tunapoteza muda mwingi kufanya vikao unategemea kazi zangu nitafanya saa ngapi?
Najua managers wameajiriwa ili kuongeaongea lakini tupeni muda basi sisi wafanyaji kazi tufanye kazi zetu sio Kila muda kuitisha meetings ili mjione na nyie mna kazi ya kufanya.