Kuna mjinga mmoja nae ndio ilikuwa zake yaani kwa week mnaweza kuwa na vikao sita na vyote vinachukua sio chini ya 3 hrs...iseee kuna siku kwenye kikao nilimchana maana hakuna kipya ni marejeo kkila siku yaleyale.Vikao vya mara Kwa mara ofisini vinaboa,na mara nyingi hivo vikao ni useless na vinapenda kuzungumzia kazi zinazotakiwa kufanyika badala ya kufanya hizo kazi...
Uko sahihi.Vikao vya mara Kwa mara ofisini vinaboa na mara nyingi hivyo vikao ni useless na vinapenda kuzungumzia kazi zinazotakiwa kufanyika badala ya kufanya hizo kazi. Tunapoteza muda mwingi kufanya vikao unategemea kazi zangu nitafanya saa ngapi...
Manager anapenda nyie msiohusika Ili adhihirishe umanager wake kwenu. πSisi tusiohusika kwanini mamanager hawatuachi, usipohudhuria msala japo huna umuhimu wowote
Hahahah Tena wakiwa demu mapenzi na drama zao hazijifichi ππVikao ni vingi mpaka vinachosha aisee hata wasio husika na vikao nao wanakuwepo. Tena Unaweza ukasemwa mbele ya dada wa usafi.
Wanataka tuzungumzie kazi tu, tukitaka kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi hawataki wanasema hiyo sio Agenda ya kikao, tutafute muda siku nyingine tuzungumzie hilo, ndo inakuwa limekwisha hilo.
Usiombe Boss awe na demu wake ofisini, kwenye vikao full kujitutumua, tunabaki tunamchora tu.
Nimecheka Sana kmmke πTulishawahi kuwa na kikao kuhusu kwanini tuna vikao vingi, hakuna kilichoamuliwa na mamenager wakapanga kikao chengine cha kufollow upπ
πππTulishawahi kuwa na kikao kuhusu kwanini tuna vikao vingi, hakuna kilichoamuliwa na mamenager wakapanga kikao chengine cha kufollow upπ