Vikao Vikuu vya CCM

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki vikao vya kikatiba vya CCM ngazi ya Taifa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Taifa (NEC), kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Dar es Salaam tarehe: 03 Aprili, 2024.

🗓️03 Aprili, 2024.
📍Dar es Salaam.

 
Viongozi wetu hawana baya ila wanaowaangusha wako chini huku wawashughulikie mafisadi basi Haki, ipatikane
 
Viongozi wetu hawana baya ila wanaowaangusha wako chini huku wawashughulikie mafisadi basi Haki, ipatikane
Umesema ukweli. Lakini hawataki sasa sijajua hofu yao ni nini.
Sijui wanafahamiana sasa wanaona shida kama kesho na keshokutwa watatazamanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…