Mzee wa Mtaa
Member
- May 29, 2019
- 37
- 77
Hata mi nimeshangaa...Kenyatta anaingiaje hapo??
Tuweke vya Uhuru sasa..
Shangaa ndugu kama mimi hapaKenyatta anaingiaje hapo??
Kwani Babako!Kenyatta anaingiaje hapo??
SAA mtaringia nn hahahaha hao mlowakaribisha hujui ni watanzania hahahahah...Meanwhile na haturingiView attachment 1111873View attachment 1111873
Uyo jamaa kavaa sketi au macho yang hayaoni vizuriMeanwhile na haturingiView attachment 1111873View attachment 1111873
Mbona mgeni wenu Kavaa sketiiMeanwhile na haturingiView attachment 1111873View attachment 1111873
Ni Wasukuma...SAA mtaringia nn hahahaha hao mlowakaribisha hujui ni watanzania hahahahah...
Nchi ya Fiji watu wake walitoka Tanzania hata sura zao na tamadun ziangalie ni za bongo