Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini.
Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!.
Tumeweza ku develope emails na mengine mengi! Je vipi kuhusu local apps zinazoweza kutumika kuendesha vikao ambavyo vingine hubeba agenda nzito zinazohusu nchi!
Mawazi haya, yamelenga kulinda taarifa muhimu za Nchi au taasisi husika hasa kwa washindani wetu.
Infact, Dunia hii Haina rafiki! Kila mtu yuko ki maslahi na ku win opportunities!