BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Mamlaka za Mkoa ndani ya Dar es Salaam zilibuni jambo zuri la kuwepo kwa ndoo au mifuko au vyovyote unavyoweza kuviita vile vya kuhifadhia uchafu kwenye daladala.
Lakini pamoja na hivyo nimefanya uchunguzi ambao si rasmi, nimegundua kuwa ndoo nyingi au hivyo vifaa vingi vinavyotika kuweka uchafu navyo ni uchafu pia.
Ikitokea ukakaa karibu na vifaa hivyo kwenye daladala kwanza huwezi kuweka uchafu kwa kuwa vingi vimeharibuka na kinachotokea wanaweka kama ushahidi tu, pili vinatia kinyaa, mfano ni hicho nilichokipiga picha.