Usafiri wa daladala ni wa kifala sana.Mamlaka za Mkoa ndani ya Dar es Salaam zilibuni jambo zuri la kuwepo kwa ndoo au mifuko au vyovyote unavyoweza kuviita vile vya kuhifadhia uchafu kwenye daladala
Lakini pamoja na hivyo nimefanya uchunguzi ambao si rasmi, nimegundua kuwa ndoo nyingi au hivyo vifaa vingi vinavyotika kuweka uchafu navyo ni uchafu pia.
Ikitokea ukakaa karibu na vifaa hivyo kwenye daladala kwanza huwezi kuweka uchafu kwa kuwa vingi vimeharibuka na kinachotokea wanaweka kama ushahidi tu, pili vinatia kinyaa, mfano ni hicho nilichokipiga picha.
Ukiona hivyo ujue wamechoka kupigwa fineMamlaka za Mkoa ndani ya Dar es Salaam zilibuni jambo zuri la kuwepo kwa ndoo au mifuko au vyovyote unavyoweza kuviita vile vya kuhifadhia uchafu kwenye daladala
Lakini pamoja na hivyo nimefanya uchunguzi ambao si rasmi, nimegundua kuwa ndoo nyingi au hivyo vifaa vingi vinavyotika kuweka uchafu navyo ni uchafu pia.
Ikitokea ukakaa karibu na vifaa hivyo kwenye daladala kwanza huwezi kuweka uchafu kwa kuwa vingi vimeharibuka na kinachotokea wanaweka kama ushahidi tu, pili vinatia kinyaa, mfano ni hicho nilichokipiga picha.
Na hapo bado hujaweka makondakta wenyewe walivyo wachafu kiasi kwamba walitakiwa wawe ''wametupwa'' ndani ya hivyo vikapu vya uchafu. Na daladala zenyewe pia nazo chafu. Kusema ukweli ukikaa nje ya nchi hasa nchi zilizoendelea kwa muda mrefu halafu ukarudi Bongo, daladala unaziona kama ni majalala yanayotembea.Daah wanatunza uchafu kichwani daslm shikamoo...
Siwezi kuwalaumu hizo gari zina kodi kubwa saana ndio maana hata watoto wa shule wanatumia gari mbovu na zinaleta majanfa hawafikirii kuweka mazingira mazuri na rahisi kwa Wananchi wao...huwezi kuona mtu anatumia Quantum kwa ajili ya dala dala au hiace nzuri kwa sababu haitamlipa hapa tumezoea matakataka ndio yatusafirishe...hiyo gari ukiikagua hapo ina Latra na mambo mengine mengi tuu ambayo huko Nje ni taasisi moja ndio inasinamia na utalipa huko...Na hapo bado hujaweka makondakta wenyewe walivyo wachafu kiasi kwamba walitakiwa wawe ''wametupwa'' ndani ya hivyo vikapu vya uchafu. Na daladala zenyewe pia nazo chafu. Kusema ukweli ukikaa nje ya nchi hasa nchi zilizoendelea kwa muda mrefu halafu ukarudi Bongo, daladala unaziona kama ni majalala yanayotembea.
Konda mchafu anakushukia sasa hivi kama mwewe, jipange kisawasawa [emoji1787]Na hapo bado hujaweka makondakta wenyewe walivyo wachafu kiasi kwamba walitakiwa wawe ''wametupwa'' ndani ya hivyo vikapu vya uchafu. Na daladala zenyewe pia nazo chafu. Kusema ukweli ukikaa nje ya nchi hasa nchi zilizoendelea kwa muda mrefu halafu ukarudi Bongo, daladala unaziona kama ni majalala yanayotembea.