Vikesi dhidi ya CEO wa Yanga na siasa za kuviziana

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Kuna vihoja vinasambaa mitandaoni vya kuonesha kuwa credibility ya CEO mpya wa Yanga ipo questionable.

Watu wanasahau kuwa ni vyombo vya sheria pekee ndiyo vyenye jukumu la kuthibitisha hilo. Na ktk hilo hatujasikia taarifa ya kesi yoyote ambayo huyo bwana alikutwa na hatia. Hana hatia.

Pia, tukumbuke kuna watu waliwahi kufungwa jela kwa vituhuma kama hivyo lkn wakaja kuwa viongozi wa klabu kubwa na wakapata hadi ubunge.

Tuelewe vizuri ma tusikurupuke
 
C.E.O wa Yanga ni nani kati ya hawa? GENTAMYCINE au ni yule OKW BOBAN SUNZU ? Maana wote wana tusifa na tuvigezo
 
Hawa watoto wa juzi wataelewaje hayo
 
NYIE KUMBE CEO MPYA WA YANGA NI PANYA ROAD WA ZAMBIA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
NYIE KUMBE CEO MPYA WA YANGA NI PANYA ROAD WA ZAMBIA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Eti CEO ni panya road wa Zambia.....Kwikwikwikwikwi
 
ndo mmekuja na hii[emoji115]ya kubumba ili kumlinda panya road,mnataka kuficha muhalifu eti?
Panya road ni aliyenyea debe kwa kesi ya wiki na mkamchagua kuwa kiongozi
 
Kutuhumiwa pekee tena zaidi ya maramoja tayari ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…