Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Habari zenu,
Kwa mtu anayesoma vikindu teachers college, naomba kujua, anayetaka kuanzia ngazi ya diploma kwa ualimu wanampokea, na ada bei gani.
Nimejitahidi kuwapigia simu hawapokei.