Vikithibitisha kuwa Nazizi wa Kenya na Producer wa Kibongo ni wapenzi kwa sasa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni mtayarishaji wa Homeboyz Production ya Kenya, wawili hao wameendelea kuwa karibu kiasi cha kutoonesha ‘uhusiano wa msanii na producer’ wake kama walivyosema.
Penzi la Sappy na Nazizi limeendelea kushamiri kiasi cha producer huyo kuamua kumpeleka kwao Mwanza kumtambulisha kwa wazazi wake.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kaka yake Sappy, Nazizi na Sappy[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Isitoshe, Sappy amekuwa karibu mno na familia ya Nazizi kiasi ambacho hadi mtoto wa Nazizi amemzoea Sappy ‘anayeplay role’ ya ubaba kwa sasa baada ya Nazizi kuachana na mume wake.
Like Step Father like Son – Sappy akiwa na mtoto wa Nazizi

Wawili hao pia wamerekodi wimbo wa pamoja uitwao Gangster Love.


 
Ila mume wake wa kwanza alikuwa mzuri kuliko huyu mweh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…