VIKOBA..,BLACK NA MICHEZO NI TATIZO KTK NDOA..

Rebo Tz

Senior Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
169
Reaction score
125
Wadau mimi naomba nigusie kidogo juu ya swala hili la vikoba..,black...,michezo kwa baadhi ya wanawake wasiojitambua...

Mtoto wa kike utakuta anaenda kukopa black bila kumwambia mmewe huku akifanya jambo la kijinga kupitia zile pesa alzokopa akishindwa kulipa watu wanakuja beba vitu ndani na kubaki na povu mdomon huku kuplekea kuachwa....

Pia utakuta mtoto wa kike anacheza mchezo kwa siri,angalia ndani sasa mume anaacha pesa ya kununulia njegele na visamaki utakuta inapigwa panga na pesa inapelekwa mchezon...

Alafu akipokea hata matumizi ya maana hakuna ndani ya nyumba..badilikeni jaman na mtengeneze mfumo mzur wa kutafuta pesa....
 
Haya pole ndugu yangu. Ila sisi wengine michezo ya wake zetu inatusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…