Vikoba kikundi kipya Arusha kinaanza wiki hii

afrique

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
509
Reaction score
135
kuna thread iliahi kuwepo huku kuhusu vikoba,i nimeifdanyia kazi na nimeanzisha kikundi cha vikoba arusha ambacho kinaanza leo tarehe 25 mwezi wa 4 2014,kwa wale walioko arusha wenye interest tuwasiliane kwa namba 0767319121 sitakuwa online kwa hivyo tuwasiliane kwa simu
 
Anza kwa kutuambia hiyo ni kitu gani, inafanyaje kazi, na faida zake mtu akijiunga.
 
kale kautaratibu wa kitapeli.chukua jembe kalime.unataka dezo? nenda dodoma zipo za mgawo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…