Vikoba na wanawake

Ukwelinasema

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
454
Reaction score
542
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Wakuu naomba kuwasilisha kwenu kwanini inachukuliwa tofauti na jamii hasa wanaume kwa mwanamke anaecheza/kujihusisha na vikoba? Ikiwa pesa inayopatikana wengi wameifungilia miradi/kuifanyia vitu vya maendeleo kwa ajili ya familia husika!
 
Mtakuja kutapeliana nyie
 
Weka swali lako vizuri ,sijaelewa swali lako ni nini au logic ya mada.
 
Tatzo hao wake za watu tinawachapa sana kwa sababu ya haya marejesho ya vikoba , elfu 20, 30 , 40

Tinawachapa mno

Sasa waume zao wamestuka ..

Alafu nanyie mlooaz jiulizen, mwanamke humpi pesa ya kuchezea, lkn mwenzio kila wiki anapeleka elfu 20,30,40,50,hadi laki

Anazipata wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bwegee unakaa kaa kizembe mpaka December wakivunja vikoba vyao ,nawee unapewa mgao ,unacheeeeeka[emoji23]

Sisemi kwamba ni haramu kwa mwanamke kucheza vikoba au kulimbikiza mali
Nachosema ni haramu, nipale mwanamke ambaye ni mama wa nyumban, huenda anapewa pesa lkn anaibana, anaaamua kumsumbua mtu kama Zero IQ ampe hela

Kwann asichakatwe??

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Tukiachana na vicoba nimependa sana miguu yako... Hakika uu mremboo mamiiii
 

Kuna ubaya kama mwanaume atahusika kwenye hayo marejesho na si kumwachia mkewe pekee
 
Kwanini wanaume wengi wanakua against wanawake wanaocheza vikoba regardless faida zinazopatikana kwenye hivyo vikoba
Sababu zipo nyingi, na kila mtu anayo sababu ya kumfanya apendezwe au asipendezwe mkewe akiwa na vikundi vya namna hiyo. Kubwa kwa wanaume (baadhi) ni ile financial freedom anayoitafuta mwanamke, imagine mwisho wa mwaka mke anavunja vikoba na 20mil inaingizwa kwenye account, huku kidume kina 100k, ada zinamsubiri, kodi nk.
 
Kama maendeleo yanarudi kwenye familia kwanini mwanaume awe insecured
 
Kwanini wanaume wengi wanakua against wanawake wanaocheza vikoba regardless faida zinazopatikana kwenye hivyo vikoba
Kwasababu fedha za wanawake za kwenye vikoba hazifaidishi familia(mme),fedha za vikoba wanatumia wao kununua mawigi na nguo tu ila hata chumvi ndani fedha za vikoba hazinunui hivyo mme anaona kama hakuna tija yeyote.
 
Kwasababu fedha za wanawake za kwenye vikoba hazifaidishi familia(mme),fedha za vikoba wanatumia wao kununua mawigi na nguo tu ila hata chumvi ndani fedha za vikoba hazinunui hivyo mme anaona kama hakuna tija yeyote.
Ila wakiungana mke na mume inaweza leta maendeleo ndani ya nyumba(naongelea kwa mke anaejitambua)
 
Vikoba na mwanaume wapi na wapi


Jiiteni viwallet
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
 
Tatizo ni pale pesa mume aloacha ya matumizi familia ile vizuri mama anajibana anapika vyakula ili mradi tu chenji zibaki apeleke huko.

Ila ni vizuri kukiwa na uaminifu ni njia ya kutunza pesa na baadaye kuwa mitaji ya biashara nk.

nakumbuka nilishajoin kimoja hivi kilikua online tunafahamiana ila tupo mikoa tofauti tofauti, pesa mnatuma yule mtunza hazina hakua mwaminifu afu anakua mkali mkiwa mnapiga hesabu na kubisha kwamba kiasi kilichopo siyo hicho ni hiki dah. Pia kuna member akakopa pesa mnamkumbusha kulipa riba anakaa kimya simu hapokei wala sms hajibu na yupo Bukoba huko dah hata kumfata haiwezekani,Tulivovunja sijajoin tena😀😀
 
Waanawake wa UPATU wana comment wapi? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kikoba cha online? Au mie ndo sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesema vyema ila ninewaza tu kama mwanaume akishirikishwa na vitu vikafanyika kiuwazi maendeleo kwenye nyumba siyaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…