Vikoba/vikundi vya michezo vimekuwa chanzo cha wake za watu kuchepuka

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Mambo yasiwe mengi, na mengi yasiwe mambo.

Carlos The Jackal nasemaje, wewe kama una mke yaani umeoa, halafu unajua kabisa mkeo kazi yake ya kawaida tu, nasio kwamba wee mwanaume una pesa kivile halafu ana Jihusisha sijui na vikundi yaaan ana vikundi/vikoba/Visheti vingiiiii ila Hela yake haimtoshelezi yaan ana takiwa kila wiki apeleke kwa ujumla laki tatu.

JUA KWAMBA, ANALIWA ILI APATE PESA YA VIKOBA. Mkisema hayanihusu poa tu, nmemaliza ila nmeandika kwa uzoefu naoendelea kuuona.

1623387396913.png
 
Adamu nina shida ya dharula nisaidie elf 30 ya kikoba! Leo jion natakiwa kuwasilisha.
Samahani nisaidie.

Unabaki unajiuliza huyu si mke wa mtu huyu! Kwa hiyo mumeo na yeye wamekosa elf 30.
Unawazaa unasema hakuna cha bure...

Mama Neema sina salio mpesa kwa sasa, kama una nafasi njoo hapa kwangu uchukue or Mama Neema sipo home nimetoka outing kidogo kurefresh akili, ukipata nafasi Njoo Maduhu Lodge uchukue
 
Kifuatacho ITV inakuwa ni "Adam ingiza taratibu" kwa sauti ya mkopaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi tu tutafanyaje maana ndio wake zetu hawa.

Mwaka fulan, Mjomba wangu alimfumania mkewe ndani kabisa kitandan kwake

Kilichotokea[emoji23][emoji23][emoji23]

Aliishia kupiga Risasi mbwa wake woteeee [emoji23][emoji23][emoji23]

Saizi wanakula bata na mkewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dooh!
KE wa watu ni shiiiidah🙄
 
Kabla ya kuwa na uzoefu nilikuwa naonaga kushauri mwanandoa Jambo rahisi sana.ni ngumuu
Yaani ogopa sana watu wanaolala pamoja.ni ngumu kuwaachanisha.mimi kwa kweli Sasa hivi kesi ya wanandoa siweki neno.huwa nasume ni Mimi.
 
Njaa haifugi mwali sembuse mke..
Hatuchezi michezo kwa ajili ya njaa boss
Tuseme Mimi nafanya biashara mwezi huu wa sita let say natakiwa kulipa Kodi ya mwaka 6m
Kuna mchezo nacheza kwa siku tuseme elfu 30 na tupo 50 tu minimum.j
Kuliko nitoe 6 m kwa mwenye nyumba at per kutoka kwenye biashara yangu nacheza majina matatu tu najazia Kodi nyingine narudisha mdogo mdogo nazungusha.kama huzalishi michezo na vicoba utaona mateso.ila wajanja wanamake sana.kuna michezo hadi ya milioni mtu unapata mtaji kabisa Bila riba na unafanya mambo.ya maana.
 
Sure kabisa naabiwa chochote ntakupa nikopeshe nikisema tuu njoo fastaa yaanii haya maishaa
 
Back
Top Bottom