permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hili sinagogi linatumika kwa sala bila shida yoyote, huoni Talmund ndani humo?Porojo tu hizo waingie basi wafanye ibada zao kama atatoka mtu andelea kudanganya mapoyoyo wenzako.
Majitu yamepewa ahadi kibao kama yakifa. 1. Ahadi ya kuingia peponi mahali ambapo pana mito ya serengeti lager, safari lager, konyagi, k-vant na pombe zingine kiba. 2. Ahadi ya kupewa (BURE) wanawake 72 kwa kila mwanaume na uume usiochoka. 3... 4... lakini bado yanajificha kwenye mashimo kama panya. Maana yake ni nini? Hawana uhakika na ahadi za allah. Maana Mungu wa kweli anasema "mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa".Wameacha wafe mashimoni Kwa njaa badala ya kuwauwa Kwa gharama![emoji38][emoji38]
Link? Na sie tukasome la sivyo umbeaMy Take :Je, Kusimikwa kwa Sinagogi la kiyahudi huko Gaza na vikosi vya Israel kibabe ni dalili za Hamas kushindwa umiliki wa Gaza? Sinagogi ni hekalu la wayahudi la kuabudu!
....
View attachment 2830112
IDF soldiers have established a synagogue called Heichel Avraham in the heart of Gaza and have added benches and prayer books, according to Walla.
Outside of the building are posted times for prayer which are updated daily.
This isn’t the first time since the ground invasion that the IDF has prayed at a synagogue.
Troops came across a synagogue in Gaza City dating back from the Byzantine era in the 6th century.
HahaaaSiyo kweli haiwezekani. IDF kwanza wameshasambaratishwa vibaya na kuchomwa moto.
@faizaFozy
Nimeona sinagogi hapo sijaona msikiti.Hapo tutaona mungu mwenye uwezo ni nani kati ya allah wa wapalestina na Yehova Mungu wa Waisraeli.