F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
- Thread starter
-
- #21
Akili yako mgandokuipiga Ukraine na kuiogopa LATVIA , ESTONIA NA FINLAND
Jamaa wanakiambana wanaaacha silaha nyumaNaam URUSI PIGA HAO RAINBOW
HZI HABARI NZUR SANA
Unajua malengo ya Russia?ukifika muda hatutak maneno ya propaganda , hayo mapigo yote ila hamaliz vita , na hauoni kuwa haya mashambuliz hayajafikia malengo
Malengo ni kuchua baadhi ya maeneo bado anaendelea kuyachukua akimaliza atakuambia, usizime simuAnasubiri nini sasa kutangaza ushindi?
Hawa huwa wanarukaruka kama kuku aliyekatwa kichwaAcha ufala jamaa umesoma links
Ndio tumemaliziaKwani HIMARS bado zipo Ukraine?
Umesoma links π π πHehehe mnachekesha sana kwa namna mnavyojitekenya, si mlisema hamna HIMARS hata moja Ukraine kwamba zote mumezipiga, leo mnabwatuka tena.....na mtaendelea kupokea kipigo takbirr
Halafu mleta mada jifunze kunitag kabisa acha mafumbo, mimi ni mzee wa battle ukinitag tu naibuka...