Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huyu waziri mkuu wa Hungary ananikumbusha Bernard Membe alivyojiunga ACT akafanywa mgombea urais halafu akawa hafanyi kampeni anapiga ruti za Dubai tu na akagoma kujiuzulu pale chama chake walipoamua kumuunga Lissu mkono kama mgombea wao.
Viktor Orban yeye anawatukana viongozi wenzake wa EU na kuushambulia Umoja wa Ulaya(EU) kila siku ila hataki kujitoa kabisa kutoka EU! Dunia imechanganyikwa sana.
Viktor Orban yeye anawatukana viongozi wenzake wa EU na kuushambulia Umoja wa Ulaya(EU) kila siku ila hataki kujitoa kabisa kutoka EU! Dunia imechanganyikwa sana.