Vikuku miguuni nini maana yake?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
kumekua na ongezeko sana la kinadada kuvaa vikuku mguuni

kama leo nimeenda kunyoa saloo X katika mkoa wa iringa nikakuta mdada kavaa skert zakubana zile wanazovaa hasa wanavyuo hajavaa kufuri halaf kavaa kikuku mguu wa kushoto
 
Weka kwanza picha ya hizo kuku
 
fasheni hiyo.kama wewe unaye vaa nguo za kuchanika tukajua ni kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…