The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 362 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo, amewataka wanufaika wa mikopo hiyo kuitumia kwa uangalifu ili kujikwamua na wimbi la umaskini.
Ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeweka mpango mzuri wa mikopo hii ili kuleta maendeleo kwa wananchi.